Domhome JF-Expert Member Joined Jun 28, 2010 Posts 3,198 Reaction score 3,950 Nov 29, 2010 #1 Natafuta Kiwanja Cha Kujenga nyumba ya makazi Dodoma na kiwe kimepimwa. Sina uchaguzi na eneo iwe; Makole, Chadulu, Kisasa nk. nk. Sichagui. Mwenyenacho ani PM!
Natafuta Kiwanja Cha Kujenga nyumba ya makazi Dodoma na kiwe kimepimwa. Sina uchaguzi na eneo iwe; Makole, Chadulu, Kisasa nk. nk. Sichagui. Mwenyenacho ani PM!