Natafuta kiwanja Goba (kuanzia 1000 sqm na kuendelea) ofa 6m tsh

microbby86

New Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
3
Reaction score
0
NATAFUTA KIWANJA

MAENEO: GOBA,SALASALA, MAKABE, MADALE
UKUBWA : KUANZIA 1000 SQM.
OFA : TSH. 6M
 
Kwa bei hiyo na maeneo uliyotaja kiukweli hupati kiwanja. Hapo unachoweza kuambulia ni kutapeliwa ama kuuziwa eneo feki. Time will tell mkuu
 
Ukifanikiwa kupata kiwanja huko kwa bei hiyo huko utupe mrejesho humu jf

Ova
 
Nashukuru wadau kwa mawqzo yenu bado naendelea kujichanga. Ila kama kuna maeneo mengine naweza pata kwa bei hyo sio mbaya tukajuzana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…