Natafuta kiwanja Kinyerezi....bajeti Tshs Mil 3 tafadhali pm kwa mwenye nacho.

If you get a plot at that price, That plot will be too good to be true. Ujue ndio umebambikwa ivyoo!
 
Plot kinyerez saiv sio chini ya million kumi, jichange mkuu na bado vinaendelea kupanda ukifikisha hicho kiasi nitakusaidia
 
Aha,kumbe ni ile kinyerezi ya TARIME-MARA,umepata mkuu kama ni huko,ebu ni PM!!!
Ila kama ni kinyerezi ya Dar labda sqmt4(2x2)
 
Kama upo serious ongeza mill 2 ziwe tano,m ntakusadia upate ta changu nkukatie kam kweli una taka
 
Mimi ni nacho kigogo fresh,kigogo kata ya pungu. Urefu mita 22 upana 20. Nataka milioni 3.5 no dalali.. ila akijapimwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…