Natafuta kiwanja Kinyerezi ukubwa kiwe 30x25

Natafuta kiwanja Kinyerezi ukubwa kiwe 30x25

Babu Kijana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
587
Reaction score
276
Wakuu natafuta kiwanja maeneo ya Kinyerezi kilichopimwa kwa size ya 30 kwa 25, bajeti yangu haizidi 10mil naomba mwenye kujua tuwasiliane
 
Ukipata kwa hyo bei nishtue , mwaka 2016 kipindi vyuma vimekaza nilitafuta chenye ukubwa wa hivo sikupata na nilikuwa na milion 15
 
Wakuu natafuta kiwanja maeneo ya Kinyerezi kilichopimwa kwa size ya 30 kwa 25, bajeti yangu haizidi 10mil naomba mwenye kujua tuwasiliane
Kwa kinyerezi sidhani kama utapata. Ninacho 30x28 Mbezi kimara nauza 18M
 
Bro Mambo vp mm ninacho Chamanzi 40upana .urefu 60 kama unataka nipe mkwanja .
whatsapp +97156 6941 622
 
Back
Top Bottom