Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,213
Kipo Goba ipi? Ukubwa?
Kuna bei zingine nikumkomoa mteja kwa huo ukubwa wa kiwanja hali ya uchumi ya sasa je bei yako ni rafiki?Ukihitaji kipo cha sqm 625
Goba mtaa wa tegeta A
METER 500 kutoka barabara ya lami
Offer 16m
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtafute kuna jamaa humu JF ana kampuni ya utalii alitangaza mkopo wa milioni 3 na pia ana kiwanja kama unakihitaji mvue.Kama una kiwanja naomba nicheki,
Ujanja ujanja weka pembeni, tutafungana.
Nilishasema mkuuu kwenye postBarget yako bei gan?nikupe kiwanja kizur maeneo ya lastanza njia panda ya kinzudi..kipo flat kabsa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa umeelewekaKama una kiwanja naomba nicheki,
Ujanja ujanja weka pembeni, tutafungana.
Ukajibiwa hapa
Hapa ukaja na Jina lingineKipo Goba ipi? Ukubwa?
Barget yako bei gan?nikupe kiwanja kizur maeneo ya lastanza njia panda ya kinzudi..kipo flat kabsa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa umemjibu gesssss kama Going Concern au kanyagio utata wa multiple ID unaanzia hapa alafu aujarudi kwa Jina lako umekaa tu unasanifu wanaokupa data za plot wewe Going ConcernNilishasema mkuuu kwenye post
42M kwa ulomiKama una kiwanja naomba nicheki,
Ujanja ujanja weka pembeni, tutafungana.
Hapa umeeleweka Ukajibiwa hapaHapa ukaja na Jina lingineHapa umemjibu gesssss kama Going Concern au kanyagio utata wa multiple ID unaanzia hapa alafu aujarudi kwa Jina lako umekaa tu unasanifu wanaokupa data za plot wewe Going Concern
Do you think muda wote niko online? Kwanini ata usicheki mara ya mwisho kuingia jamii forum ilikua lini? What if nawatafuta private?
Sent using Jamii Forums mobile app