Natafuta kiwanja maeneo ya bagamoyo road wakuu

Natafuta kiwanja maeneo ya bagamoyo road wakuu

Mohamedex121

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2022
Posts
1,725
Reaction score
3,271
Habarini ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Wakuu natafuta kiwanja ukubwa futi 50*40 maeneo ya bagamoyo road bei kuanzia million moja hadi mbili

Natanguliza shukurani
 
Million 1 au Mbili? bagamoyo road barabarani sidhan kama hiyo bei inatosha
 
Ft 50*40 ni kidogo sana mkuu
Angalau upate 80*80 Ft la sivyo ukimaliza kupiga msingi na eneo lako limeisha
 
Nadhani anamaanisha kiwanja cha barabarani wilaya ya Bagamoyo, sio hii Bagamoyo road ya Dar🤔
 
Eneo lenye wingi wa Matapeli wa Viwanja 🤣🤣🤣😂we jichanganye tu...
Halaf hamna viwanja vya chini Million 5 huko
 
Tahadhari kubwa sana ichukuliwe na mtoa mada wakati wa mauziano ya kiwanja husika.
 
Back
Top Bottom