BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Kuna jamaa anauza kiwanja chake kipo vikindu lkn ukivuka Toa Ngoma km upo interested utanambiaHabari Wana jukwaa
Natafuta kiwanja BAJETI 2.5M, maeneo ya kibugumo Kigamboni,
Vikindu na toa ngoma mbana hapaingilianiKuna jamaa anauza kiwanja chake kipo vikindu lkn ukivuka Toa Ngoma km upo interested utanambia
Itakuwa wewe mgeni vikindu ni kupita iko hivi KONGOWE-MWANDEGE-VIKINDU-KISEMVULE-MKURANGA mkuu😂😂😂😂Kuna jamaa anauza kiwanja chake kipo vikindu lkn ukivuka Toa Ngoma km upo interested utanambia
SawaNi sababu hauko serious.Kiwanj kibugumo kwa 2.5mill?Kibugumo pale sahivi sqm moja elf 20 hadi 25.Sasa we mill mbili labd kama unatak buyuni....napo shamba...sio kilichopimwa.Kwa budget yako uliza Chamazi Mbagala kule utapata kwa hiyo bei
Vipi sungulani, kisarawe 2,Dar kununua kiwanja kwa milioni 2.5 hapo lazima upigwe tu kama kondoo makamasi yakutoke.
Sipajui au ndio huko kwa 255 Samata?Vipi sungulani, kisarawe 2,
Mbele Kama 2kmSipajui au ndio huko kwa 255 Samata?
Mbele Kama 2km
Nimekuambia kisarawe 2, mwasonga mbali. Mi ninacho njoo nikuuzieMwasonga na Kijaka? Hata huko 2.5m utapigwa tu ,wengi wanaouza bei hizo ni matapeli ,mwenye kiwanja hawezi kuuza kwa bei hizo.
Nimekuambia kisarawe 2, mwasonga mbali. Mi ninacho njoo nikuuzie
Kisarawe 2 kigamboni sahivi kiwanja cha sqm 600 around 8mill-9millVipi sungulani, kisarawe 2,