Natafuta kiwanja Mbweni, budget Mil.70

Natafuta kiwanja Mbweni, budget Mil.70

Watanzania ni ujeuri au ni kiburi.

Pamoja na Mbweni kujaa maji na kuwa bahari, bado kuna watu wanataka viwanja vya huko?

Kwa namna nilivyoziona hizi mvua, mtu akinunua kiwanja Mbezi Beach, Kawe, Mbweni, Tegeta, Kunduchi na kwengineko mabondeni, basi ninakuona wa ajabu tu na una hela za kuchezea.
 
Kweli sio poa, yaani m70 kimasihara tu kweli tujitafute hela unayoiona nyingi kwa mwenzako ni kawaida tu
 
Natafuta kiwanja Mbweni.
Bajeti yangu Mil.70.
Ukubwa at least 900sqm

SITAKI MADALALI.
Kwa mmiliki au anaemfahamu mmiliki anitumie picha na location kwenye WHATSAPP 0788 893364.
Just Whatsapp. NO CALLS


Mbweni unapata lakini sio Jkt
 
Back
Top Bottom