K kamongo14 Member Joined Sep 7, 2013 Posts 8 Reaction score 3 Oct 13, 2014 #1 Habari wandungu, mwenye kiwanja maeneo ya mbweni malindi au JKT na angependa kukisukuma ni-pm. tafadhali siulizi dalali hapa..!! naomba mtu aliye serious sio unakuja na mibei ya kununua ndege. At least sqm 1,000 0719 822 358
Habari wandungu, mwenye kiwanja maeneo ya mbweni malindi au JKT na angependa kukisukuma ni-pm. tafadhali siulizi dalali hapa..!! naomba mtu aliye serious sio unakuja na mibei ya kununua ndege. At least sqm 1,000 0719 822 358