Northern Lights JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 412 Reaction score 372 Oct 15, 2019 #1 Kiwe maeneo ya Kihonda, Mkundi, Bigwa, Lukobe au Nane nane. Pia kiwe kimepimwa. Weka na bei kabisa. Kama ukubwa sio 30*30 basi walau kiwe kuanzia 700 square meters
Kiwe maeneo ya Kihonda, Mkundi, Bigwa, Lukobe au Nane nane. Pia kiwe kimepimwa. Weka na bei kabisa. Kama ukubwa sio 30*30 basi walau kiwe kuanzia 700 square meters
T ThaGreatman JF-Expert Member Joined Sep 11, 2018 Posts 708 Reaction score 1,466 Oct 16, 2019 #2 Ninacho maeneo ya mawasiliano,mkundi mbele,kimepimwa na kinasubiri hati,(kimeshawekwa mawe ya utambuzi) Ukubwa wake ni 35×35M Bei ni 4.5Million,nicha kwangu mwenyewe!
Ninacho maeneo ya mawasiliano,mkundi mbele,kimepimwa na kinasubiri hati,(kimeshawekwa mawe ya utambuzi) Ukubwa wake ni 35×35M Bei ni 4.5Million,nicha kwangu mwenyewe!