Natafuta kiwanja Morogoro mjini

jesanga

Member
Joined
Dec 23, 2015
Posts
15
Reaction score
0
Samahi mm mgeni humu ndani sijui km nipost sehemu sahihi.
Nahitaji msaada km kuna mtu ana kiwanja Morogoro mjini kwa ajili ya kujenga nyumba ya kawaida tu, (aniuuzie isiwe nje sana ya mji mfano ikiwa 7 to 8 km from ofisi za manispaa ni vema zaid.Pia nahitaji nyumba ya kupanga Morogoro mjini pia iwe ya familia moja au km kuna familia nyingine basi kusiwe na kuchangiana..sifa za nyumba iwe na 3bedrooms.sitting room.kitchen na iwe na fensi pia parking.Asnteni
 
Kiwanja kipo maeneo ya kionda kama utapenda tunaweza wasiriana ukakione ila bei m3.5
 
Naomba namba yako ya simu. . Na mimi nikutafute namba yangu 0756361511
 
Kwa kiwanja utapata. Kiwanja kipo kihonda kilimanjaro. Ni surveyed plot ukubwa ni 948sqm kina offer. Bei ongea nami 0713239045. Karibu morogoro
 
Kwa kiwanja utapata. Kiwanja kipo kihonda kilimanjaro. Ni surveyed plot ukubwa ni 948sqm kina offer. Bei ongea nami 0713239045. Karibu morogoro

kinauzwaje?je gahrama za kubadidilisha umuliki nani analipa?
 
Ukitaka shamba nipm kuna shamba heka 10 lipo bwawa la Kihonda mil 3
 
Kiwanja kipo maeneo ya kionda kama utapenda tunaweza wasiriana ukakione ila bei m3.5

Asante sana..naomba number ya simu au njia ya mawasiliano nawe yangu nmekutumia inbox
 
kwani viwanja vingi vinapatikana eneo gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…