Kwahiyo bei neenda kisesa au nyamongoro, pembeni ya jiji kabisaHabari za leo. Nimehamishiwa kikazi mwanza hivyo natafuta kiwanja budget 6-8milioni.
Full document, location isiwe milimani na pawe panafikika
Mkuu, ungeweka mawasiliano ili wenye navyo waweze kukutafuta.Habari za leo. Nimehamishiwa kikazi mwanza hivyo natafuta kiwanja budget 6-8milioni.
Full document, location isiwe milimani na pawe panafikika
Buhongwa viwanja kibaoHabari za leo. Nimehamishiwa kikazi mwanza hivyo natafuta kiwanja budget 6-8milioni.
Full document, location isiwe milimani na pawe panafikika
Wapi buhongwa.Buhongwa viwanja kibao