Natafuta kiwanja sehemu nzuri Arusha

Don arl

Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
39
Reaction score
21
Habari wana Jamiiforums,

Mimi ni mgeni jijini Arusha, natafuta kiwanja maenezo mazuri yaliyotulia ambacho kitafaa kwa apartment au min hotel…naomba recommendation zenu sehemu gani ni nzuri kwa Jiji la Arusha!

Natanguliza shukurani!
 
Habari wana jamii forum,
Mimi ni mgeni jijini arusha, natafuta kiwanja maenezo mazuri yaliyotulia ambacho kitafaa kwa apartment au min hotel…naomba recommendation zenu sehemu gani ni nzuri kwa Jiji la arusha! Natanguliza shukurani!
Unataka sehemu ya kijani au kwenye ukame?
Viwanja vizuri Arusha ni ukanda wa juu, I mean mkono wa kushoto mwa barabara ya Moshi Road.
 
Habari wana jamii forum,
Mimi ni mgeni jijini arusha, natafuta kiwanja maenezo mazuri yaliyotulia ambacho kitafaa kwa apartment au min hotel…naomba recommendation zenu sehemu gani ni nzuri kwa Jiji la arusha! Natanguliza shukurani!
Kwa apartment Moshono patakufaa zaidi chief kwa Hotel nakushauri check Sakina, au Ngaramtoni kuna maeneo mazuri kibiashara hata Matevez cc Unique Flower kazi hii hapa
 
Maeneo mengi tu mkuu, tena unapata kwa mwenyeji...muuzaji na sio dalali.
Ni sehemu nzuri sana Kuanzia kwa mrefu hadi Tengeru

[emoji1488][emoji1488]Asante mkuuu
 
Manyire, Mlangarini Chini ya Gomba Estate ....kuzuri balaaaa.....huko unapata kuanzia hekari na kuendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…