Taja bei hapa ili tukija tunajua tunaweza kuafford..Nina kiwanja Mapinga Bagamoyo 20 kwa 20.Kilomita Moja toka Barabarani.Mani umeme vipo na majirani wana nyumba za maana.0652409259.Kama utahitaji au yeyote anayehitaji.
mzee wa tegeta sh ngapi hicho na ukubwa ganiNikuuzie nyakasangwe?Tegeta wazo hill kwa nyuma kama unaelekea madale, ni PM namba zako nitakupigia
Rusha mawasiliano yako mkuu!!icho hapo kipo goba mpakan kina msingi wa vyumba vitatu na sitngroo ukubwa n 15 kwa 20 bei mill3
Ok mkuu
Mil. 2???nakutumia no tuongee vizul
kichuguu ndo nini acha ujinga mkuu watu wameishi mabondeni wewe unazungumzia kichuguu Wachawi kila sehemu wapo au nawe mchawi? maji ni dar yote DAWASCO WAMEAMKA BOMBA ZIPO KOTE MKUU NA RAMANI IMEPITA FULL MAJIMbezi juu ni kichuguu, kuna mchwa sana pia shida ya maji isiyo isha pamoja na wachawi wa kubinya maendeleo
Toka wachina wachimbe mabomba huko mpaka leo maji ayajawahi kutoka. Mara mia uishi goba kuliko mbezi juu. Barabara hakuna hasa hii ya kupandishia goldstar kupitia kona bar. Pia watu wa hapo mbezi juu waswahili sana wapo kisharishari muda wote. pia maendeleo hamnakichuguu ndo nini acha ujinga mkuu watu wameishi mabondeni wewe unazungumzia kichuguu Wachawi kila sehemu wapo au nawe mchawi? maji ni dar yote DAWASCO WAMEAMKA BOMBA ZIPO KOTE MKUU NA RAMANI IMEPITA FULL MAJI
Mkuu kina ukubwa wa square meter 875mzee wa tegeta sh ngapi hicho na ukubwa gani
yeah mda wowote ukiwa free unaweza kuja kukiona ntaku pm no zangu
yeah mda wowote ukiwa free unaweza kuja kukiona ntaku pm no zangu
BeiKipo bunju A.size ni 30x33 0716757454 kina gofu vyumba v3
Toa Bei Humu MkuuNina kiwanja Mapinga Bagamoyo 20 kwa 20.Kilomita Moja toka Barabarani.Mani umeme vipo na majirani wana nyumba za maana.0652409259.Kama utahitaji au yeyote anayehitaji.
Natafuta kiwanja maeneo hayo kama unacho tuwasiliane....
Nikuuzie nyakasangwe?Tegeta wazo hill kwa nyuma kama unaelekea madale, ni PM namba zako nitakupigia
Kipo Goba kikubwa sana tuwasiliane 0717569086.Natafuta kiwanja maeneo hayo kama unacho tuwasiliane....