Natafuta kiwanjaa goba

Mbezi sehemu nzuri ni maemeo around safari bar hadi roundabout ya maramba. Bei minimum laki nne mpala sita!
 
Naitaji kiwanjaa goba kwa bei ya milioni 7 kama kuna mtu anaweza nipatia
Kuna kiwanja kizuri 4m mabwe pande...sqm 400
Umeme na maji vipo njoo ukione kwanza kama upo serious huwezi kukiacha...nichek kwa namba 0684 84 88 01.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…