Natafuta kuku wa kununua wa kienyeji mattetea.

Natafuta kuku wa kununua wa kienyeji mattetea.

mjasilia

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2012
Posts
594
Reaction score
172
Wasalam wana jf.

Niombeni mwenye kuku wa kienyeji ambao hawajachanganywa(cross breeding) nawahitaji kwa ajili ya kuwafunga na pia majogoo 3 makubwa.
sifa:

1: Wawe awajataga ila wako karibu na kutaga
2: Wasiwe machotara( pure local)
3: Wawe wakubwa wa umbo utajua mkubwa kwa kuangalia mguu wake na urefu wake na manyoya
4: Majogoo yawe makubwa angalau yenye na uzito walau kilo 3 na wawe walfru wasiwe wazee sana maana ni kwa ajili ya kuwaliwaza majike.
5: Kama nitapata kuku hawana manyoa shingoni hasa majagoo nitafurahi sana.
 
Back
Top Bottom