Hahhaha ukifuata ya watu jf utapotea. Hao wanapenda burudani na mimi huburudika na kuburudisha haswa.Sasa mbona huna tabia za watu wa meditation?
Naona unatukuna matusi makubwa ya nguoni kuna mdau alisema una mental problems huenda kweli
Huo ni mtazamo wa saghuru nimeweka hapo kabisa , hili swali alishaulizwa hivyo nilicopy kwa huyo guruMbona kama Chat GP hii mkuu?
Wewe ndio wa kwanza kuitoaNo it's not ego
Hiyo ni statement tu. Hujui hata yule anaye crave guidance ni moja wapo ya limitation anayo jiwekea mwenyewe?
Duuh moyo wa mtu kichakaHahhaha ukifuata ya watu jf utapotea. Hao wanapenda burudani na mimi huburudika na kuburudisha haswa.
Sawa, unataka tukushauri kwa namna ipi mkuu? Na unajua kila kituπ€Sure ila sio kusema nimefika kule ambako wamefikia. Na hata wao husema guidance ain't necessary
Things speak for themselvesWhy are so quick to judge?
Am curious, tell me more about this?Mi nini hamu ya kupata experience ya Psychedilic au hypnosis, hivi Lsd drugs ni legal hapa bongo
I can tell you need a loyal friend and confidantNo you're so quick to make conclusions, mimi ni mtu poa sana.
Ni one way wanatumia psychedelics (miti shamba fulani) ku tinker normal functioning za ubongo na hufanya mtu kukosa locus of control inatumika hasa kwa healing of trauma. Na pia inasaidia mtu kupata glimpses za EnlightenmentAm curious, tell me more about this?
πππππ anai channel kunako shimo la matusi labda.Sasa mbona huna tabia za watu wa meditation?
Naona unatukuna matusi makubwa ya nguoni kuna mdau alisema una mental problems huenda kweli
min -me muda huu ashakula vitu, ni kucopy kule na kupaste hapa.Mbona kama Chat GP hii mkuu?
Nenda India kuna ma temple kibaoMmh umenielewa vibaya.. Mkuu na hata hivyo nimeomba mwongozo wa kupata temple au community and that's the main goal ya huu uzi