Natafuta Kundi la Meditation ya Kina

Haifuti as such Hapana inafanya kukusaidia kudetach na uhalisia uliopo kwa muda tu, then inapoisha makali unakuwa umepata experience mpya.. So ukifanya hivyo repeatedly anxiety nayo unapotea kimtindo. Sema sio effective sana kama behavior therapy and EMDR
 
Mkuu.ni njia gani nzuri ya kufanya meditation kwa mtu mwenye tatizo social anxiety?
 
Mkuu.ni njia gani nzuri ya kufanya meditation kwa mtu wenye tatizo social anxiety?
Kwanza kabisa meditation haiwezi kulimaliza hilo tatizo.
Inabidi tujue chanzo cha social anxiety. Na hapo inabidi ufanye CBT mara nyingi ni wewe kuanza kutoka nje na kuanza kuongea na watu kwa hatua ndogo ndogo na baadae kuanza kuongea publicly kabisa.

It's a process of facing your fears
 
Okay..
 
Lengo la meditatiom ni utulivu wa akili right?Na kama jibu ni ndio hatutegemei mtu wa meditation kuwa machepele
I don't think una uelewa kuwa meditation inaletaje utulivu wa akili? Sio utulivu wa kukaa silent ewe mmatumbi

Sio kuwa na utulivu wa akili. Akili Kamwe sio tulivu
 
Unaposema meditation ili angalau mtu awe amefanya nini kinazingatiwa?
 
Sure unaweza ukawa addicted to the act of meditation na bado usiifikie nirvana
Ukiifanya meditation kuwa kitu unachokishikilia au njia ya kutimiza tamaa ya kufika nirvana, tayari umeunda kifungo kingine.
Nirvana si zawadi ya kufanya meditation kwa muda mrefu. Inatokea pale ambapo hata yule anayesema, Nataka nirvana, ametoweka, Meditation ya kweli si kufanya, ni kuwa, Na pale unapokuwa kikamilifu, bila kutafuta kufika popote, ndipo kile unachokitafuta kinaweza kujidhihirisha.


Maneno ya mwalimu oshoo.
 
A hundred percent ewe mmatumbi.
But these are just words, Nirvana itself is even more than that. It's BEING and not DOING na effoerles effort.
Funfact unaweza kupata glimpse ya Nirvana hata wakati wa kulomba pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…