Tayari nina website yake na maudhui yake nitasoma kwanza nijue then kama nitawiwa nitamcheki. Maana anafocus kwenye astrology sana sijajua kama yuko kwenye Maswala ya meditationThat is a professional about things do you want to practise -0755222555
Kwa ulipofikia hatua inayofuata nafikiri yeye atakufundisha namna ya kutoka kwenye mwili.Tayari nina website yake na maudhui yake nitasoma kwanza nijue then kama nitawiwa nitamcheki. Maana anafocus kwenye astrology sana sijajua kama yuko kwenye Maswala ya meditation
Nashukuru sana kwa taarifa.Kwa ulipofikia hatua inayofuata nafikiri yeye atakufundisha namna ya kutoka kwenye mwili.
Hiyo ndio hatua zaidi kwenye hiyo. Huko utakutana na wafu utaongea nao. (Hapo ndio kama una ndugu zako kuna kitu kama pesa alificha mahala, atakuambia kilipo). Utaongea nao kawaida. Mwanzo unaweza ukaogopa lakini baadae utawazoea.
Hatua inayofuata utaonana na malaika wako wale wawili. Hii hatua ndio mfano ukiumwa unayoweza kujitibu mwenyewe kwa miti shamba utakayoelekezwa. Pia unaweza kuambiwa njia unayopita badirisha ghafla kuna ubaya mbele. Hii hatua ndipo wanatokea waganga wa mitu shamba wale wa ukweli wanaokaa polini huko. Kila dawa anaelekezwa na hawa malaika kulingana na ugonjwa au tatizo la mtu.
Hatua kubwa ya mwisho ni kuongea na MUNGU. Hii hatua ndio wengi wakifika hii wanatokea wanaojiitaa manabii. Hii hatua unaweza kujua vya mbele. Yaani mfano ulikuwa unataka kusafiri unaweza kujua safari yako ilivyo kabla hujaianza. Unaweza kujua kesho yako. Unaweza kuwaelewa wanyama wanasema nini? Mpaka sisimizi unaweza kuwasikia wanasemaje. Hapa ndio unaweza ukaacha kula nyama ya mnyama yoyote,ksbb wote wanakuwa marafiki zako n.k n.k.
UKIFIKIA HUKU UTAISHI MAISHA YA FURAHA SANA KSBB KILA KITU UNAKUWA UNAKIJUA.
HAPO NDIO MUNGU ALIPOSEMA WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA. MAARIFA YENYEWE NDIO HAYA YA KUFIKIA HUKO NDIO WENGI TUMEYAKOSA
Open rebuke is better than silence. I did the former!Daah kumbe mnafiki ndugu yangu?
Huyo ni gwiji saka nyuzi zakeSijaona akizungumzia meditation 🧘♂️
Tafuta unacho taka kukisikia ,ambacho haukitaki unakipotezea tuOk nitamfwatilia... Ila Kuna Sehem naanza kuona alisema wanaongea sijui na Malaika Daah hapo pamenitatiza kidogo
Basi kama ni hivyo haina faida,sasa ni utulivu gani huo kama unaropoka kama muimba singeli au panyaroad.I don't think una uelewa kuwa meditation inaletaje utulivu wa akili? Sio utulivu wa kukaa silent ewe mmatumbi
Sio kuwa na utulivu wa akili. Akili Kamwe sio tulivu
Kuna wakati wa kuropoka, wakati wa kula, wakati wa kucheza, wakati wa kuwa focused, wakati wa kufanya mapenzi..Basi kama ni hivyo haina faida,sasa ni utulivu gani huo kama unaropoka kama muimba singeli au panyaroad.
Bila shaka unamaanisha umepumzika upo kwenye dozi.Hapana mkuu , vyombo nimestaafu 😅
Hapana mkuuBila shaka unamaanisha umepumzika upo kwenye dozi.