Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Inatakiwa uliyopiga mwenyewe isiyo na copyright ya mtu au kampuni ili kuepuka kesi.Toa pesa hio
Tunaelekea kwenye uchaguzi mwaka ujaoUkiniletea picha ya Kunguru wanaojaamiana (Mating Ravens) nainunua kwa Tshs.3ml. Kuna sehemu naipeleka ughaibuni.
Vigezo na Masharti:-
Inatakiwa picha uliyopiga mwenyewe isiyo na copyright ya mtu au kampuni ili kuepuka kesi.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ukilipwa nistue.Mimi nipe tu 100,000 mkuu
😂Ili usinikwepe sema kabisa, kunguru wa aina gani. Nisijekuzama porini kutafuta ukaanza sitaki hawa weusi tupu nataka wale wenye baka jeupe au sitaki wakiwa hivi nataka jike akiwa kwa juu dume chini
Unalipa kwanza au upewe picha kwanza??Inatakiwa uliyopiga mwenyewe isiyo na copyright ya mtu au kampuni ili kuepuka kesi.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mimi ninayo ila ni kavukavu bila condom, inakubalika?Ukiniletea picha ya Kunguru wanaojaamiana (Mating Ravens) nainunua kwa Tshs.3ml. Kuna sehemu naipeleka ughaibuni.
Vigezo na Masharti:-
Inatakiwa picha uliyopiga mwenyewe isiyo na copyright ya mtu au kampuni ili kuepuka kesi.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Unapokosa kujuwa kuwa mojawapo ya kazi za vyombo vya habari ni kuburudisha ndipo posts zako zisizokidhi weledi wa uandishi zinapokataliwa na kutupwa kama vile msingi wa kuandikwa kwake ni bangi ya Arumeru. Kwa mantiki hiyo ya mmea wa Arumeru unaokutengenezea kukataliwa unaweza kufanya hadhira ijizuie kukucheka pale utapoamini kuwa Katuni pia sizo habari bali ni utumbo na kwamba hazistahili kuchwapwa.Halafu sisi tukiandika mada za maana zinazokosoa serikali au JF wenyewe, zinafutwa...
Lakini huu utumbo utaendelea kupaa...
Nimejifunza kitu juu ya uwezo wa wengi kufikiri ni wa kiwango gani!Mnakokwenda hayo masharti ya Waganga yatawaua...
Ukiniletea picha ya Kunguru wanaojaamiana (Mating Ravens) nainunua kwa Tshs.3ml. Kuna sehemu naipeleka ughaibuni.
Vigezo na Masharti:-
Inatakiwa picha uliyopiga mwenyewe isiyo na copyright ya mtu au kampuni ili kuepuka kesi.
Najuwa Dubai picha za ngono zina bei sana ila sikujuwa hata picha za ndege wanaojamiana pia zina soko huko. Swali la uzushi, picha ya ndege wengine wanaojamiana huko ni shillingi ngapi, nataka nikutumie picha za njiwa wangu wakijamiana.Ukiniletea picha ya Kunguru wanaojaamiana (Mating Ravens) nainunua kwa Tshs.3ml. Kuna sehemu naipeleka ughaibuni.
Vigezo na Masharti:-
Inatakiwa picha uliyopiga mwenyewe isiyo na copyright ya mtu au kampuni ili kuepuka kesi.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Chura wanaojamiiana ni dawa ya kunasa mke ama mume anayecheat mwenzake.Umenikumbusha jamaa aliwahi kunipa tenda ya kumtafutia chura wanao jamiiana. Sema ye alinichana kabisa ni wa kutengenezea dawa ya biashara. Unfortunatly sijakutana nao.