golden ratio Member Joined Dec 25, 2015 Posts 85 Reaction score 38 Jan 13, 2016 #1 Habari wakuu. Natafuta kununua kahawa kwa bei ya jumla ila sifahamu bei sasa hivi ikoje. Naomba taarifa kwa anayefahamu bei ya kahawa sasa hivi ikoje. Ahsanteni.
Habari wakuu. Natafuta kununua kahawa kwa bei ya jumla ila sifahamu bei sasa hivi ikoje. Naomba taarifa kwa anayefahamu bei ya kahawa sasa hivi ikoje. Ahsanteni.
jembelamkono JF-Expert Member Joined Nov 19, 2015 Posts 2,733 Reaction score 2,012 Jan 13, 2016 #2 Jumla unataka kiasi gani?
golden ratio Member Joined Dec 25, 2015 Posts 85 Reaction score 38 Jan 13, 2016 Thread starter #3 jembelamkono said: Jumla unataka kiasi gani? Click to expand... Ningependa kujua bei ya kahawa sokoni kwa sasa. Ningependa kununua kuanzia 100kg.
jembelamkono said: Jumla unataka kiasi gani? Click to expand... Ningependa kujua bei ya kahawa sokoni kwa sasa. Ningependa kununua kuanzia 100kg.