Samedi Amba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 227
- 178
Namba tatu ndio mbaya hioooooHabari wanajamvi,
Natafuta laptop charger tajwa hapo juu. Zingatia zifuatazo:
1. Laptop charger iwempya
2. Ntajie bei inbox
3. Risiti iwe ya EFD kwa kuwa nanunua kwa ajili ya taasisi
4. The sooner the better.
Jioni njema
Nipe contacts za hiyo duka... Coz watu wengi hawatoi EFD (kifaa mkononi)Maduka huyajui?
Niko mwengeUko wapi
Nipe contacts za hiyo duka... Coz watu wengi hawatoi EFD (kifaa mkononi)