Habari wadau
Naomba kwa yeyote anayejua wapi naweza pata laptop dell latitude xps 13 ultra book au duka linalouza laptops brands nyingi kwa dar anijulishe.shukrani
poa poa, ila why ultra book hii? Display ndogo hivo una penda? I suggest going for a larger 14 or 15'' diplay tena kwa bei ya hio machine u gt a pretty good laptop.