Bella Ciao
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 1,804
- 4,475
natafuta laptop iliyopo kwenye condition nzuri
Ram kuanzia mbili
Internal 250 Gb
Nina hp Mini 311-1037NR...natafuta laptop iliyopo kwenye condition nzuri
Ram kuanzia mbili
Internal 250 Gb
Shilingi ngap mkuuNina hp Mini 311-1037NR...
RAM:2GB
HDD: 320GB
Mkuu ninayo kidogo..We ni Maskini sasa hela utakuwa nayo kweli,nikikuletea?.......
Mbona bei kubwa... Akati ni HDD 325,.. Je ingekuwa SDD?[emoji41]Ipo fujitsu stylistic Q702. Ni Core I5. Bei 650,000/=. Ram 4, HDD 325 . Ukitaka kuijua vzuri ingia you tube.