P pitapitapita Member Joined Nov 2, 2010 Posts 10 Reaction score 0 Nov 10, 2010 #1 MWENYE LAPTOP YA KUNUNUA SECOND HAND, NAHITAJI KWA SHUGHULI ZANGU ZA CHUO, PLEASE GIVE PRICE AND SPECIFICATIONS. NAIIHITAJI HARAKA Asante
MWENYE LAPTOP YA KUNUNUA SECOND HAND, NAHITAJI KWA SHUGHULI ZANGU ZA CHUO, PLEASE GIVE PRICE AND SPECIFICATIONS. NAIIHITAJI HARAKA Asante
Kishongo JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 932 Reaction score 64 Nov 10, 2010 #2 Wasiliana na Mr Erick No 0712014577
Mahebe JF-Expert Member Joined Feb 7, 2009 Posts 319 Reaction score 64 Nov 10, 2010 #3 Nina Laptop Sony VIO VGN-NS20M toleo la mwaka February 2009, bei Tshs 1,300,000/= sipunguzi hata kidogo.
Nina Laptop Sony VIO VGN-NS20M toleo la mwaka February 2009, bei Tshs 1,300,000/= sipunguzi hata kidogo.
F Fernandes Rodri JF-Expert Member Joined Apr 11, 2009 Posts 519 Reaction score 256 Nov 10, 2010 #4 Njoo mtaa wa Mkunguni, jirani na soko kuu la Kariakoo, pana duka la kuuza Computers used, ni katika jengo refu la Bakhresa. Karibu na hoteli ya AL Uruba, bei ni kuanzi 400,000 hadi 500,000
Njoo mtaa wa Mkunguni, jirani na soko kuu la Kariakoo, pana duka la kuuza Computers used, ni katika jengo refu la Bakhresa. Karibu na hoteli ya AL Uruba, bei ni kuanzi 400,000 hadi 500,000
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,266 Reaction score 8,085 Nov 10, 2010 #5 Mahebe said: Nina Laptop Sony VIO VGN-NS20M toleo la mwaka February 2009, bei Tshs 1,300,000/= sipunguzi hata kidogo. Click to expand... Aisee! kuna mtu ana 1,299,999/-
Mahebe said: Nina Laptop Sony VIO VGN-NS20M toleo la mwaka February 2009, bei Tshs 1,300,000/= sipunguzi hata kidogo. Click to expand... Aisee! kuna mtu ana 1,299,999/-