Kuna kitu hapa HP ProBook 4320s:Intel (R) core i3 CPU m370 @2.40GHz 2.40Ghz........................................(hii dual core)
Installed RAM 2.00GB
With window 7 brand new .
Kama unahitaji leo sema tufanye biashara ila bei yako si kwa kitu hiki itabidi upande kenda juu....ongeza senti hizo upande kitu pro...! Laki nane(8)
wabongo bana mtu keshaweka specfcation zake na wewe unaweka zako.kama we ni buznez man tafuta customer anachoitaji then fanya busness
soma thread ya chini mnipe majibu!!wabongo bana mtu keshaweka specfcation zake na wewe unaweka zako.kama we ni buznez man tafuta customer anachoitaji then fanya busness
kati ya hizi thread ninani zaidi bwge??nadhani utakuwa umeisoma vibaya sitaki kuamini kama uko bw*ge kaasi hicho