natafuta lawyer ambae anaweza kunisaidia kulipwa thamani ya mzigo wangu ktk shirika la ethopian air

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
765
Reaction score
490
Jamani mm sheria imenipitia kushoto kabisa! na hili shirika la ndege ya ethopian wamenipotezea mzigo wangu wa biashara ndani kulikua na simu za mkononi ambao tathmini yake ni dola 7000 mpaka 8000 za kimarekani so naomba mnisaidie mawazo maana kila siku nafuatilia lakini wananizungusha! kwa maelezo zaidi 0777212220
 
Mkuu unajua hapa wewe uliingia kwenye contract baina yako na hio ndege.., hivyo basi lazima kwenye ticket yako au sehemu yoyote kutakuwa na small prints ambazo mara nyingine zinazema kwamba either mzigo ukipotea haulipwi au unalipwa kiasi fulani.., au ukitaka ulipwe inabidi ukate insurance..

Hivyo basi kabla haujatafuta mwanasheria jaribu kusoma legal terms and conditions kuhusu mizigo yako kwenye hio ndege, nadhani a best route ya kuchukua kwanza ongea nao hao jamaa wenye ndege (huenda kuepuka publicity kwamba hawafai na wanapoteza mizigo ya watu wanaweza wakakulipa amount fulani)

Ila sitashangaa kama ukikuta kwenye terms and conditions ya ticket yako umejifunga kwamba utalipwa amount ndogo au kutokulipwa.., au labda ulitakiwa ukate insurance ili ulipwe up to a certain amount (yaani labda maximum wanayolipa ni usd 500 hata kama umepoteza 100000 usd)

Anyway jaribu labda kupata ushauri pengine lakini issue kama hizi huwa ni contract baina ya mnunuzi na muuzaji na they are bound by the terms and conditions of that contract

Lakini nisikuvunje moyo jaribu kuangalia kwenye documentation walizokupa na receipts kama kuna any legal terms and condition kuhusu upoteaji wa mizigo
 
Mkuu nimecheki hapa terms and conditions za Ethiopian Airline



For more information angalia Ethiopian | Policies | Contract of Carriage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…