mkuu contract yoyote sio mpaka aiandike mwanasheri au hata iwe na stamp ya mwanasheria
wewe andika tu
leo tarehe _____________________ ninafunga mkataba baina ya _________________________(mwenye nyumba) na _______________________ mpangaji
Pande zote zinakubaliana yafuatayo:-
Kwamba
a)
b)
c).....
(hapo unaongelea terms na condition mfano kodi itakuwa ngapi, kama mpangaji atalipia maji na umeme, muda wa kutoa notice kama anataka kuvunja mkataba, muda wa kutoa kama anataka kuendelea na mkataba, kalipa kiasi gani na kodi ni kiasi gani kwa mwezi na mwaka.., elezea kama haruhusiwi kupangisha wengine, elezea kama haruhusiwi kufanya biashara yoyote, elezea kama matengenezo yatahitajika ni nani atagharamikia... n.k. (yaani elezea yote yale unayotaka kulingana na nyumba yako, hata kama hutaki mifugo unaweza kuweka hapo), pia elezea kama mpangaji atatakiwa kulipa pango lote kwa mwaka au kwa installments.
Mkataba huu umesainiwa leo tarehe___________________________ na wafuatao:-
hapo chini weka sehemu za majina ya mwenye nyumba na mpangaji na sehemu za kuweka sahihi pia weka sehemu za mashahidi wawili au wanne wawili wa mwenye nyumba na wawili wa mpangaji au mmoja mmoja kwa kila upande