lazima kutakuwa kuna mwanamke aliyekuondolea kujiamini kiasi hiki,pole.....kujifunza practikale itakuwa ngumu...sababu kila mwanamke ana sehemu zake ambazo akibonyezwa ana respond,huo mwili wa lesbiani hautakuwa sawa na wanawake utakaokutana nao....wee jua basics tu kwa kuangalia video na kutembelea website za kikubwa.....then unajaribishia kwa huyo mkeo...in trial and error way lol....unajaribu huku ukiangalia anarespond vipi...kama anapenda atakujulisha kwa kulegea na kama hapendi atatoa mkono wako...kuonyesha hapo sipo na wewe unatafuta sehemu nyengine ambayo atarespond,hivi ndivyo tunavyofanya...lol kama harespond kila kitu chochote unachomfanyia ni kero jua hakupendi hauko mawazoni kwake lol.....na pia jaribu kuwa muwazi kwake kwa kumuuliza ni sehemu gani akishikwa anafurahia.....unaweza ukafanya hivyo kwa kumtext sms ya mapenzi ingawa usilenge moja kwa moja inaweza kuwa turn off lol