[emoji23][emoji23][emoji23] umejiriwaa,lmaoooHabari ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo.
1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea,
2: Awe anajitambua
3: Awe anaweza kuongea kiingereza
4: Awe anajua kupika na msafi
5: umri miaka 24-30
SIFA ZANGU HIZI HAPA
1: ELimu Degree
2: umri 31
3: Nimejiriwa
Karibu PM kwa aliyetayari .
Tusiojua kiingereza hatuna chetu hapoHabari ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo.
1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea,
2: Awe anajitambua
3: Awe anaweza kuongea kiingereza
4: Awe anajua kupika na msafi
5: umri miaka 24-30
SIFA ZANGU HIZI HAPA
1: ELimu Degree
2: umri 31
3: Nimejiriwa
Karibu PM kwa aliyetayari .
Hii ni aibu kubwa sana kwa wanaume wa Tanzania na duniani kote.Habari ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo.
1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea,
2: Awe anajitambua
3: Awe anaweza kuongea kiingereza
4: Awe anajua kupika na msafi
5: umri miaka 24-30
SIFA ZANGU HIZI HAPA
1: ELimu Degree
2: umri 31
3: Nimejiriwa
Karibu PM kwa aliyetayari .
Hiyo sifa namba 2 mtu atajipima vp au kuna watu huwa wanajijua hawajitambui?