natafuta loan for one month only

natafuta loan for one month only

Mtotigite

Member
Joined
Aug 11, 2009
Posts
40
Reaction score
3
haloo wana jamvi nahitaji mtu anayeweza kunipa mkopo wa milion kumi kwa mwezi mmoja tu interest 10% baada ya mwezi mmoja narudisha 11M.kama yupo rusha namba zako hapa au piga 0754552128
 
Mh, ukiingia nazo mitini?
 
haloo wana jamvi nahitaji mtu anayeweza kunipa mkopo wa milion kumi kwa mwezi mmoja tu interest 10% baada ya mwezi mmoja narudisha 11M.kama yupo rusha namba zako hapa au piga 0754552128

Are you serious? una collateral gani?
 
haloo wana jamvi nahitaji mtu anayeweza kunipa mkopo wa milion kumi kwa mwezi mmoja tu interest 10% baada ya mwezi mmoja narudisha 11M.kama yupo rusha namba zako hapa au piga 0754552128

Dhamana yako nini??au hiyo no??sema watu waingi mifukoni ukishindwa??kama vipi nenda easy finance utapata leoleo!!
 
Una collateral ya thamani gani? Huwa nakopesha kwa asilimia 20 kwa mwezi na colatteral yako ni lazima thamani yake izidi thamani ya mkopo na mkataba wangu unaweka wazi kuwa ukishindwa kurudisha deni kwa muda tuliokubaliana riba itaendelea ku accumulate na baada ya miezi mitatu nauza au nataifisha hiyo mali. Na mkataba umesema kabisa masuala ya kesi mahakamani sahau na unasaini. Ni lazima uwe na wadhamini na kama umeoa/olewa mwenzi wako ni mmojawapo!! Je una makazi ya kudumu au umepanga? Nacho ni kigezo katika mkataba!!! Kama uko tayari sema then tutafutane!!!?
 
Dhamana yako nini??au hiyo no??sema watu waingi mifukoni ukishindwa??kama vipi nenda easy finance utapata leoleo!!

aaah Kaka Sikushauri uende Kwa hawa jamaa wa Easy Finance....utakuja kujuta .....hawa jamaa wako interested na Collateral ambayo utaiweka..mfano: Nyumba, Gari ....na Viwanja ......

Nasikia kuna watu huwa wanapata mikopo kwenye hii mifuko ya jamii ( Social security Schemes - e.g. PPF, NSSF, LAPF) kwa interest wanayoitaka wao ....hujuani na Mkurugenzi yeyote kwenye hizi taasisi? si unajua kuna mipesa imelala tu! ......kila Mwezi wafanyakazi wanakatwa

Alternatively kama una Gari ....Nenda Kwenye Microfinance Moja inaitwa DalaDala SACCOS ....ila kuwa makini pia kwa sababu hawa jamaa hawachelewi kukutia umaskini...(Wana-fall in love Na Usafiri wako Mapema Baada ya kukupa loan Zao)
 
collaterall niliyonayo ni gari ambalo lina thamani ya zaidi ya hiyo 10m,unakubali collaterall ya aina hiyo?ila kwa hiyo percent 20 mkuu uko juu,kama utaweza kushuka kwa 10% tuwasiliane.
 
Back
Top Bottom