Msituni tena mkuu
Lorry kulipeleka huko ungeongeza maelezo huko lorry litapita wapi
Je kuna barabara za uhakika maana unaposema msituni kwa kweli kuna mikwaruzo kwenye gari, kuna kuzama au kuanguka kabisa
Funguka zaidi au huna uzoefu bado mkuu
Inabidi uongeze maelezo kwenye kiasi gani cha shamba la miti unamiliki, kama ni ya biashara inatakiwa ijulikane unazungusha kiasi gani na mzunguko wako wa pesa benki kwa mwezi ni kiasu gani kutokana na biashara ya miti.
Huko porini itakufaa Howo au Beiben iwe rigid truck (mende/kipisi) yenye axle configuration ya 6×4 au 8×4.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.