Thanks for your advise.......nikuambie kitu young lady? Wear those scars like a trophy. Been there, and survived... lived to tell the tale. Jikubali...usikose confidence kuhusu jambo ambalo halikuwa ndani ya uwezo wako kuli control.
In future Mungu akikujaalia kupata uja uzito... kuna mawili stretch marks na kuna alama zinazobaki iwapo utapata watoto kwa njia ya operation. Wear those as a trophy too.
Bei gani hii??Tafuta hii kweny Mskiti wa Mtoro. Kariakoo
Bei sikumbuki mpendwaBei gani hii??
Uweke hapa kwa faida ya walio wengiNjoo PM nikupe twitter acc utatatuliwa shida yako bila malipo
Ndugu iv ulifanikiwaKama kichwa cha habari kisemavyo niko na shida ya makovu ya kuungua na moto mwilini mwangu japo si mengi ila huwa yananikosesha amani so nahitaji msaada mtu anayefahamu kitu nachoweza tumia kinisaidie kuondoa haya makovu.