Natafuta Maabara ya Certificate Of Analysis Kwa medicated soap

Natafuta Maabara ya Certificate Of Analysis Kwa medicated soap

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Habari wakuu,

Najiandaa kusajili medicated soap TMDA, kuna document ya certificate of analysis wanahitaji. Ni maabara ipi naweza fanya parameter test?

Naomba msaada kwa namba
0713- 039 875
 
CoA wanatoa manufacturer, ila kama ni wewe mwenyewe then unaweza check na independent labs Singapore au Malaysia au Kenya.. they can do the best....
 
Waone SGS hapo kinondoni, au moja kwa moja mombasa watakusaidia
 
Fika Mabibo External jengo la EPZAukifika getini ulizq kwa walinzi upande zilipo ofisi zinazoitwa BB PHARMA. Ukifika hiyo ofisi utatibu haja ya moyo wako. Ukiridhika nichek inbox unipe posho na ukikuta magumashi nichek pia inbox nitakupa maji ya baridi upooze koo
 
Back
Top Bottom