Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wasingekua wanakod kuendesha biashara zao nduguKukodisha si ni risk mkuu? Kwa nn usinunue kashamba hata robo heka?
Namtafutia nyumbaHuyu rafiki yangu anakupa hi[emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2569565
Mimi ninayoNatafuta mabanda ya kufuga nguruwe ya kukodisha, DSM au Pwani
Mwenye nayo au anaejua mtu anayo msaada tutani
Walau nguruwe 200 na kuendeleaYa size gani, unataka kufuga nguruwe wangapi?
Unapatikana wapi mkuuMimi ninayo
N mabanda ya nguruweENEO NA BOMA LINAUZWA
KIBAHA KWA MFIPA JIRANI NA SEC.YA SIMBANI .
ENEO LINA UKUBWA WA NUSU HEKA. KUNA BOMA LA NYUMBA YA VYUMBA 3 VYOTE MASTER. SEBLE JIKO NA DINING. NIMEEZEKA VYUMBA 2. NA VYOO VYAKE TAYARI VINATUMIKA LINA TANK YA CHINI YA KUVUNIA MAJI LITA ELFU 3000.
UMEME NGUZO MBILI
MAJI NI MITA 500
km.1 kutoka main road
NATAKA ML. 22
Mazungumzo yapo
0685223804
PamojaKila la kheri...
[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]Waiting
Niliona , ila sio option niliokua naiangalia ile[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]