Natafuta mabati Transparent, kofia na gata zake

Natafuta mabati Transparent, kofia na gata zake

Paploman

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2019
Posts
1,759
Reaction score
3,452
Wakuu habari,

Niko Morogoro natafuta mabati ambayo ni transparent pamoja na kofia na gata zake.

Mwenye kujua Morogoro yanapatikana wapi au Dar anijuze.
 
Upo Moro sehemu gani?, hayo mabati yapoje mbona jina geni tupia mapicha picha tuyaone
 
Upo Moro sehemu gani?, hayo mabati yapoje mbona jina geni tupia mapicha picha tuyaone
Yale yanayopitisha mwanga wa jua, yapo kama ya plastic, nilikuwa nayaona kwenye vibanda vya wamachinga enzi hizo manzese msufini
 
Back
Top Bottom