Karanga nenda mikoa ya Tabora na Katavi nilikuwa huko wiki iliyopita kabla sijarudi jijini gunia kilo 42 zenye maganda ilikuwa ni tsh 45,000/= hadi tsh 50,000/= na mahindi 110kg ni 50,000 hizo bei ni za wilaya ya Mpimbwe Katavi.
Sahihi au aende wilya ya TanganyikaKaranga nenda mikoa ya Tabora na Katavi nilikuwa huko wiki iliyopita kabla sijarudi jijini gunia kilo 42 zenye maganda ilikuwa ni tsh 45,000/= hadi tsh 50,000/= na mahindi 110kg ni 50,000 hizo bei ni za wilaya ya Mpimbwe Katavi.
Bei ya usafirishaji kwa tani au kg au kwa gunia ni kiasi gani hadi Dar? Vipi usumbufu wa vibali na ushuru njiani umekaaje? Barabara zinapitika vizuri?Karanga nenda mikoa ya Tabora na Katavi nilikuwa huko wiki iliyopita kabla sijarudi jijini gunia kilo 42 zenye maganda ilikuwa ni tsh 45,000/= hadi tsh 50,000/= na mahindi 110kg ni 50,000 hizo bei ni za wilaya ya Mpimbwe Katavi.