Natafuta machimbo ya sabuni za magadi

Natafuta machimbo ya sabuni za magadi

Mshimba1971

Member
Joined
Dec 13, 2021
Posts
75
Reaction score
67
Wadau,

Nitaji kupata kwa wingi na kwa bei ya jumla sabuni za magadi (pichani), kama unajua chimbo au unauza kwa bei nzuri naomba ni pm. Pia natafuta watu wenye ujuzi wa kutengeneza sabuni hizi.

MAGADI SABUNI.jpeg
 
Ukikosa hapa jukwaani ingia google utawapata wengi na link nyingi za wauzaji na watengenezaji wa jumla. Pia magereza karibu zote wanatengeneza,
 
Pia zipo nyuzi nyingi hapa if kuhusu hili hitaji lako zisachi utapata
 
Ukikosa hapa jukwaani ingia google utawapata wengi na link nyingi za wauzaji na watengenezaji wa jumla. Pia magereza karibu zote wanatengeneza,
Ahsante sana boss, hawa magereza huwa wanuza pia kwa jumla?
 
Ahsante sana boss, hawa magereza huwa wanuza pia kwa jumla?
Ndio upo mkoa gani,kama hazipatikani mkoa wako nenda magereza kigoma au Mbeya au wa kigoma utumia mafuta ya mise utokana na mawese
 
Unaweza ukajifunza kutengeneza pia kama oda yako umeshindwa kuitosheleza
 
Back
Top Bottom