Mshimba1971
Member
- Dec 13, 2021
- 75
- 67
Ahsante sana boss, hawa magereza huwa wanuza pia kwa jumla?Ukikosa hapa jukwaani ingia google utawapata wengi na link nyingi za wauzaji na watengenezaji wa jumla. Pia magereza karibu zote wanatengeneza,
Ndio upo mkoa gani,kama hazipatikani mkoa wako nenda magereza kigoma au Mbeya au wa kigoma utumia mafuta ya mise utokana na maweseAhsante sana boss, hawa magereza huwa wanuza pia kwa jumla?
Mimi nina ujuzi lakin sijaanza kutengeneza za kuuza jumlaWADAU,
NITAJI KUPATA KWA WINGI NA KWA BEI YA JUMLA SABUNI ZA MAGADI (PICHANI), KAMA UNAJUA CHIMBO AU UNAUZA KWA BEI NZURI NAOMBA NI PM. PIA NATAFUTA WATU WENYE UJUZI WA KUTENGENEZA SABUNI HIZI.
View attachment 2301426
Njoo tuanze kutengenezaMimi nina ujuzi lakin sijaanza kutengeneza za kuuza jumla