akatiwanya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 674
- 868
Amani na utulivu iwaangazie wana JF: Ndugu zangu katika Imani kwa heshima na tahadhima naomba mwenye kujua masoko ya jumla ya vichwa, shingo, firigisi na miguu ya kuku wa kizungu (VIZIGO), anielekeze nende nikasombe nataka kusafirisha mkoani kibiashara.
Ahsanten.
Ahsanten.