akatiwanya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 674
- 868
Uko wapi?Amani na utulivu iwaangazie wana JF: Ndugu zangu katika Imani kwa heshima na tahadhima naomba mwenye kujua masoko ya jumla ya vichwa, shingo, firigisi na miguu ya kuku wa kizungu (VIZIGO), anielekeze nende nikasombe nataka kusafirisha mkoani kibiashara. Ahsanten;
Buguruni kaka.Uko wapi?
Nenda soko la rangi tatu, muulizie mtu mmoja anaitwa MungiBuguruni kaka.
AhasanteNenda soko la rangi tatu, muulizie mtu mmoja anaitwa Mungi
Unategemea kuchukua mzigo wa kias gan mzee nikuelekeze sehem nyingi zaidiBuguruni kaka.
Tsh.50,000/=Unategemea kuchukua mzigo wa kias gan mzee nikuelekeze sehem nyingi zaidi
Jf watu siriaz wachache sana aseee.. ukifika rangi tatu niambie dm mana mm naish karibu kabisa na mazingira hayoAhasante
Mzigo wa vifurushi wa elfu 50 upeleke mkoa gani? Umefanya analysis nzur ya mkakat wako?Tsh.50,000/=
Ndio.Mzigo wa vifurushi wa elfu 50 upeleke mkoa gani? Umefanya analysis nzur ya mkakat wako?
Rangi tatu au soko la kisutu unapata hizo. Hata soko la tandaleNdio.
Naenda kuuza rejareja mkuu, lkn nikipata soko la jumla nitakurudia.Rangi tatu au soko la kisutu unapata hizo. Hata soko la tandale
Una mteja wa jumla nn? Mana mm nina mtaj hauna mkakat hapa. Tushirikishane fursa
Unaenda kuuzia mkoa gan mzeeNaenda kuuza rejareja mkuu, lkn nikipata soko la jumla nitakurudia.
Lindi wilaya ya NachingweaUnaenda kuuzia mkoa gan mzee
Pepo tokaa😂😂😂KUKU kabisa?? Au ni code mimi sijaidecipher ..!!
Anhaa Sawsawa. Kwan lindi hakuna masoko makubwa au kina mama wanafanyaje biashara hii huko?Lindi wilaya ya Nachingwea
Masoko yapo ingawa co kwa ukubwa uo, hata ivyo Lindi ni kubwa na mimi naenda wilayani then vijijini mana nime target maeneo yenye ukame na kitoweo. Nitakurudia nikupe mrejesho.Anhaa Sawsawa. Kwan lindi hakuna masoko makubwa au kina mama wanafanyaje biashara hii huko?
Nqkuachia namba yangu huko pmMasoko yapo ingawa co kwa ukubwa uo, hata ivyo Lindi ni kubwa na mimi naenda wilayani then vijijini mana nime target maeneo yenye ukame na kitoweo. Nitakurudia nikupe mrejesho.
UsiwazeNqkuachia namba yangu huko pm