Natafuta machine ya NMB au Selcom

Natafuta machine ya NMB au Selcom

xnadtz

New Member
Joined
May 16, 2016
Posts
2
Reaction score
1
Habari wadau wa biashara.

Natafuta machine ya NMB kwa ajili ya kufanya miamala ya kibank au machine ya selcom iliyosajiliwa kufanya kazi ya crdb au NMB.

Kwa yoyote alionayo ambae haitumii tuwasiliane tufanye biashara.
 
Back
Top Bottom