Natafuta madarasa ya kukodisha Kigamboni

Natafuta madarasa ya kukodisha Kigamboni

Rich Dad

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
748
Reaction score
135
Natafuta madarasa ya shule yaliyokamilika kwa ajili ya kukodisha kigamboni. Kama unayo taarifa yeyote tafadhali nicheck inbox
 
Samahani mkuu, unahigaji madarasa pekee au shule qmbayo ni kamili na imesajiliwa?
 
Samahani mkuu, unahigaji madarasa pekee au shule qmbayo ni kamili na imesajiliwa?
Hapana mkuu nahitaji madarasa tu. Kwani wewe unashule iliyosajiliwa? Naomba nicheck inbox
 
Back
Top Bottom