Natafuta maduka ya jumla ya spray kwa Kariakoo

Natafuta maduka ya jumla ya spray kwa Kariakoo

Madam vivian original

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
503
Reaction score
997
Wakuu habari za majukumu,

Mimi ni muuzaji wa duka LA vipodozi, nahitaji msaada kwa anaejua maduka yanauza spray kwa bei rahisi nanpafyum maana ninazo uziwa naona kama ni ghari sna.

Nataka wanaouza spray kwa dazern au karton ila kwa bei nafuu. Naamin kuna wafanya bisahara wanaojua machimbo ya spray naomba mnisaidie.
 
Achana na Kariakaoo, nenda mtaa wa kitumbini mnazi mmoja.
Wakuu habar za majukum
Mm ni muuzaji wa duka LA vipodoz, nahitaji msaada kwa anaejua maduka yanauza spray kwa bei rahisi nanpafyum maana ninazo uziwa naona kama ni ghari sna.

Nataka wanaouza spray kwa dazern au karton ila kwa bei nafuu.
Naamin kuna wafanya bisahara wanaojua machimbo ya spray naomba mnisaidie.
 
ukifika pale kariakoo shimon sehemu yanapopaki magari ya makumbusho kariakoo kupitia kinondoni, urud na barabara inayoenda mnazi mmoja(yanapoingilia madaladala yanayotoka makumbusho,) kuna duka moja kubwa sana la vipodozi alafu bei rahis sana
 
Wakuu habari za majukumu,

Mimi ni muuzaji wa duka LA vipodozi, nahitaji msaada kwa anaejua maduka yanauza spray kwa bei rahisi nanpafyum maana ninazo uziwa naona kama ni ghari sna.

NatNNNNaka wanaouza spray kwa dazern au karton ila kwa bei nafuu. Naamin kuna wafanya bisahara wanaojua machimbo ya spray naomba mnisaidie.NI
 
NI PM , Tufanye biashara nikuletee vitu vya uhakika toka UK
 
ukifika pale kariakoo shimon sehemu yanapopaki magari ya makumbusho kariakoo kupitia kinondoni, urud na barabara inayoenda mnazi mmoja(yanapoingilia madaladala yanayotoka makumbusho,) kuna duka moja kubwa sana la vipodozi alafu bei rahis sana
Saafi
 
Back
Top Bottom