Madam vivian original
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 503
- 997
Wakuu habar za majukum
Mm ni muuzaji wa duka LA vipodoz, nahitaji msaada kwa anaejua maduka yanauza spray kwa bei rahisi nanpafyum maana ninazo uziwa naona kama ni ghari sna.
Nataka wanaouza spray kwa dazern au karton ila kwa bei nafuu.
Naamin kuna wafanya bisahara wanaojua machimbo ya spray naomba mnisaidie.
Nipe information vzr mkuu, nahitaji snaAchana na Kariakaoo, nenda mtaa wa kitumbini mnazi mmoja.
Laki 5 ila hz spray za kawaida za bei rahisUnataka mzigo wa shilingi ngapi?
Wakuu habari za majukumu,
Mimi ni muuzaji wa duka LA vipodozi, nahitaji msaada kwa anaejua maduka yanauza spray kwa bei rahisi nanpafyum maana ninazo uziwa naona kama ni ghari sna.
NatNNNNaka wanaouza spray kwa dazern au karton ila kwa bei nafuu. Naamin kuna wafanya bisahara wanaojua machimbo ya spray naomba mnisaidie.NI
Saafiukifika pale kariakoo shimon sehemu yanapopaki magari ya makumbusho kariakoo kupitia kinondoni, urud na barabara inayoenda mnazi mmoja(yanapoingilia madaladala yanayotoka makumbusho,) kuna duka moja kubwa sana la vipodozi alafu bei rahis sana
Kwa Yussuf...!ukifika pale kariakoo shimon sehemu yanapopaki magari ya makumbusho kariakoo kupitia kinondoni, urud na barabara inayoenda mnazi mmoja(yanapoingilia madaladala yanayotoka makumbusho,) kuna duka moja kubwa sana la vipodozi alafu bei rahis sana
Ewaaaa nlisahau jina masta asante kwa kukumbushaKwa Yussuf...!