Kazi ya muda gani? Nichukukue usafiriWakuu!
Niende moja kwa moja kwenye mada, natafuta mafundi seremala au mtu yeyote mwenye uwezo tajwa hapo juu.
Niko Mafinga mjini, eneo la kazi ni Mufindi wilayani si hapa mjini. Ni kazi ya muda tu, ni kazi ya kujenga Chinese Camps.
Malipo ni TSH 25,000/= Per day.
Ni muhimu na haraka sana wanahitajika, ni-PM kwa anaehitaji.
Kula,kulala ni bure,pia usafiri kutoka hapa Mafinga town mpaka huko camp ni bure siku ya kwenda na kurudi wakimaliza kazi.Kula kulala inakuaje ni vyema ungeweka detaiLs zote tuna washkaji ambao ni mishe zao hizo ili tukiwapa info fuwape kamili kama wakipenda wakucheki moja kwa moJa
mkuu tupe detail zilzo shibaWakuu!
Niende moja kwa moja kwenye mada, natafuta mafundi seremala au mtu yeyote mwenye uwezo tajwa hapo juu.
Niko Mafinga mjini, eneo la kazi ni Mufindi wilayani si hapa mjini. Ni kazi ya muda tu, ni kazi ya kujenga Chinese Camps.
Malipo ni TSH 25,000/= Per day.
Ni muhimu na haraka sana wanahitajika, ni-PM kwa anaehitaji.
aiseeCamps kama hizi.View attachment 2355742
Ndio wanataka kujenga road fulani huko mkuu amaWakuu!
Niende moja kwa moja kwenye mada, natafuta mafundi seremala au mtu yeyote mwenye uwezo tajwa hapo juu.
Niko Mafinga mjini, eneo la kazi ni Mufindi wilayani si hapa mjini. Ni kazi ya muda tu, ni kazi ya kujenga Chinese Camps.
Malipo ni TSH 25,000/= Per day.
Ni muhimu na haraka sana wanahitajika, ni-PM kwa anaehitaji.
Ninao vijana wazuri tatizo wako mbali na hapo, ni wachapa kazi sana ungewafurahiaWakuu!
Niende moja kwa moja kwenye mada, natafuta mafundi seremala au mtu yeyote mwenye uwezo tajwa hapo juu.
Niko Mafinga mjini, eneo la kazi ni Mufindi wilayani si hapa mjini. Ni kazi ya muda tu, ni kazi ya kujenga Chinese Camps.
Malipo ni TSH 25,000/= Per day.
Ni muhimu na haraka sana wanahitajika, ni-PM kwa anaehitaji.
Camps kama hizi.View attachment 2355742