Natafuta mafundi wa kuezeka Paa

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Wale mabingwa wa uezekaji paa, wanaojua kuweka mlalo mzuri wa kupendezesha nyumba,kwa mabati ya muundo wa vigae, tuwekeeni sample, ikiwezekana na bei ili wateja tujichange kwa kazi.
 
Wale mabingwa wa uezekaji paa, wanaojua kuweka mlalo mzuri wa kupendezesha nyumba,kwa mabati ya muundo wa vigae, tuwekeeni sample, ikiwezekana na bei ili wateja tujichange kwa kazi.
Kwanza mm binafsi napenda kuuliza kampuni gani ya mabati ambayo mabati yake yako bombaa kati ya haya makampuni

A.ALAF
B.SUNSHINE
 
Kwanza mm binafsi napenda kuuliza kampuni gani ya mabati ambayo mabati yake yako bombaa kati ya haya makampuni

A.ALAF
B.SUNSHINE
Wengi wanasema kampuni A wako vizuri,nadhani inatokana na namna walivyojibrand. Kuhusu utengenezaji wa mabati, nchini huwa tunapokea 'work in Progress' ikiwa na maana ya rola ya bati;

Ambapo kwenye viwanda vyetu nchini ununua hizo rola za mabati (zilizotengenezwa nje) na kutengeneza bati kwa kuwekea mabonde na kukata kwa saizi ya mita au urefu unaohitajika.

Uimara wa bati unategemea mali ghafi iliyotumika kutengeneza hiyo rola huko nje; wengi wanasema mabati yenye madini ya aluminium ndio mazuri zaidi.

Mp
Mpo wapi?
 
Kwa sisi wa mikoani usafiri inakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ