Natafuta Mafuta ya Alizeti

Natafuta Mafuta ya Alizeti

blissful.smyl

Member
Joined
Jul 8, 2014
Posts
11
Reaction score
3
Habarini wana jumuiya...naombeni msaada wenu nikitaka mafuta ya alizeti kutoka kiwandani kabisa wanapokamulia hayo mafuta ntapata kwa bei gani aidha kwa litre 5 au 20..na kama kuna mtu ana shughulika na masuala haya kiwandani aniachie mawasilino
 
mm naweza kukuletea ulipo toka Singida hayajachakachuliwa original lita 5 kwa 15000.
 
Mbona bei iko juu galima.. Mie kuna mtu nimepata kwake litre20 kwa 43000
 
Back
Top Bottom