Natafuta mafuta ya nywele halisi za kiafrika

iron woman

Senior Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
147
Reaction score
19
Jamani naomba mnisaidie ni mafuta gani yatumike kwa nywele natural za kiafrika. Ni nyingi ila ni kavu sana.

Asante.
 
Achilia mbali mafuta

Steaming pia inaondoa ukavu katika nywele

Jaribu steaming ya mayonnaise
Ni nzuri sana
 
Wonder oil ni nzuri sana hasa nywele kavu na hutumika kwa mwili mzima.
 
Castor oil inapatikana wapi jamani
 
Mimi ninakushauri usome kwanza kuhusu natural hair na products unazopaswa kutumia. Hii ina maana kwamba, baada ya kupitia taarifa mbali mbali utajua aina ya nywele yako na bidhaa zipi zinakufaa.
Hautajutia ila kikubwa natural hair zinahitaji moisture ndio utazipenda.
 
Kuna mafuta, shampoo na conditioner ya oriflame set nzima yanasaidia kuzipa unyevu nywele
 
My dear mi pia ni naturalista kama wewe. Mafuta mazuri tumia wonder8oil ni mazuri na nywele zinakua na moisture muda mrefu nywele inakua nzuri haikatiki na inashine. Pia castor oil iko poa inalainisha nywele na kuzifanya zijae. Mafuta ya nazi mazuri ila yako ya aina nyingi... Mi napenda kutengeneza yangu mwenyewe. Nothing beats coconut oil!!
 
hayo mafuta ya castor oil ni haya ya jamii ya blue magic??? nisaidieni jamani au ni ya aina gani??? ni ya maji au ni mgando?? pia vp haya ya wonder 8oil ni haya ya maji au una na ya mganodo?? na vp kuhusu matumizi yake??? samahanini kwa usumbufu jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…