Natafuta Magari yaliyogongwa

Natafuta Magari yaliyogongwa

Don Mangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,199
Reaction score
852
Wadau,

Kama kichwa cha habari kinavyosema. Nanunua magari yaliyogongwa ya aina zifuatazo:-
  • Toyota Hilux
  • Toyota Surf
  • Rav 4 Old Model
  • Isuzu Wizard
  • Suzuki ya aina yoyote
  • Gari nyingine zinazofanana na hizo ila iwe ya juu na isiwe jamii ya saloon cars
Masharti
  • Gari iwe na engine yake pamoja na gear box vikiwa intact.
  • Isiwe imekaa sana na kunyofolewa vitu vya ndani
  • Iwe na matairi yote.
Mawasiliano kupitia whatsapp (0785168001) na bei itategemea ubovu wa gari na baada ya ukaguzi na fundi wangu.

Karibuni.
 
Mh..kufa kufaana..
Tembelwa vituo vya bima au vituo vya polisi huwa nayaona mengi unaweza kuunganishwa na wamiliki kwa urahosi
 
Gari SUV iwe na Engine &gear box (intact), vitu vya ndani viwepo na tairi zote 4. Sasa hapo si bora niifufue mwenyewe nimuuzie Mluga-luga wa mkoani
 
Back
Top Bottom